Recent content by Jacksonmyula

  1. J

    SoC02 Uchumi wa vijana

    UCHUMI WA VIJANA Nchi ya Tanzania ni nchi ambayo ina amani Tunapaswa kumshukuru Mungu kwa hilo kwa kutupa nchi yenye amani na Watanzania wenye kupenda nchi yao. Leo ningependa kuzungumzia uchumi kwa vijana Watanzania maana nchi yetu ina vijana wengi lakini maisha ya wengi yameishia kuwa duni...
  2. J

    SoC02 Sayansi na Teknolojia Tanzania

    SAYANSI NA TEKNOLOJIA TANZANIA Katika nchi yetu ya Tanzania sayansi na teknolojia imekua chini sana na imekua vigumu katika kuboresha sayansi na teknolojia kwani nchi nyingi za afrika tupo nyuma katika suala zima la sayansi na teknolojia ila kwa upande wa Tanzania serikali imekua ikiboresha mara...
  3. J

    SoC02 Elimu bila ajira

    ELIMU BILA AJIRA Tanzania yetu ni nchi ambayo inawafanya wanafunzi kuwa na fikra ya ajira hivyo unakuta asilimia kubwa ya wanafunzi wa tanzania wanategemea ajira kitu ambacho kwa upande mwingine ni kazi sana kuajiri wasomi wote na mwisho wa siku wanaopata ajira ni wasomi wachache sana na wengine...
Back
Top Bottom