Habarizenu wana JF natumai muu wazima waafya natafuta mtu awezaye kutengeneza logo pamoja na website shughuli zangu ni upasuaji na uuzaji wa mbao. kwamawasiliano zaidi.
+255768181757
napatkana whats up pia kupitia namba hiyo.
E-mail; utaliijackson@yahoo.com.
Karibuni tufanye kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.