Recent content by Itenda Jimmy Joyce

  1. I

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Sote tushikane mkono kuelekea mafanikio.... Andiko NGAZI ILIYOACHWA NA VIJANA" andiko linaloweza kubadili maisha ya mtu fulani kwa kiasi kikubwa katika nyanja mbali mbali: twende tukasome tafadhali kisha tupigie kura. Ukiweza share na watu wengine wapate maarifa.
  2. I

    SoC02 Ngazi iliyoachwa na vijana

    Tushirikiane kuwajulisha wengine pia juu ya andiko hilo muhimu ili tunufaike wote.
  3. I

    SoC02 Ngazi iliyoachwa na vijana

    Shukurani sana kwa kutambua umuhimu wa andiko langu
  4. I

    Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Shukurani sana, naomba kuuliza tena tafadhali. Nitajuaje ikiwa andiko langu limekubaliwa? Samahani naomba kujua
  5. I

    Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Sorry maandiko ya washiriki yanatumwa wapi ili tukasome tuwapigie kura tafadhali?
  6. I

    SoC02 Ngazi iliyoachwa na vijana

    Ngazi ni kifaa muhimu kinacho msaidia mtu kupanda na kufikia mahali anapohitaji. Mtu anaweza kutumia kupanda kuelekea juu au kushuka chini, ngazi hutumika sana wakati wa ujenzi, kama vile nyumba, visima au kupanda kufikia kitu fulani kilicho mbali. UTOAJI unaweza kusimama au kuwakilisha ngazi...
  7. I

    SoC02 Chozi la Mama

    CHOZI la mama; Chozi hutokana na huzuni au maumivu anayoyapata mtu, inawezekana kwa sababu ya:- kusalitiwa. -kunyanyaswa kwa aina mbali mbali. -historia mbaya. Na mengine yanayopelekea kuhuzunisha au kuumiza moyo. Mwanamke siyo kiumbe dhaifu kama wengi wanavyo wachukulia...
  8. I

    SoC02 Hata kufeli ni kufaulu

    KUFELI ni kushindwa kukamilisha jambo kwa wakati. Husababishwa na hofu, kukosa uzoefu au kukosa kujiamini. Hakuna mafanikio bila maumivu, hata mbegu hulazimika kuiumiza ardhi kwa kuipasua ili itoke. Hivyo kijana unapofeli, badala ya kulalamika, kujiona huwezi hata kutafuta mtu wa kumlaumu au...
Back
Top Bottom