Na
Kuwa na watoto wawil kwa mwanamke mwingine haikufanyi kuwa uko safi. Tatizo linatokea mda wowote na cku zinavyokwenda. Kumbuka kuna ugumba wa hatua ya pili. Yan unakuwa na watoto tayar ila utakavyoitaj zaidi na zaidi unashindwa kupatakutokana na mbegu kuwa nyepesi mno matatizo ya afya au...
Miez 6 n michache kuanza kupata uoga. Miaka 2 ikipita ndo wasiwasi wahitajika.
Ila nakushauri nendeni hospital mukapime wote wewe mbegu zako kama nyepesi au huna uwezo wakubebesha na mkeo km anauwezo au lah, vp anapata ute cku za hatari? Vip a aujua mzunguko wake vizuri na ajue mzunguko wake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.