Wiki iliyopita nikiwa kazini ghafla nikawa naishiwa nguvu hasa za miguu, nikaenda kuchek maleria na typhod nikaambiwa nina malaria nikapewa dozi. Baada ya kumaliza dozi hali haikua nzuri nilikaa siku moja nikarudi tena hospitali kucheki nikaambiwa nina malaria 10 , safari hii nikapewa Mseto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.