Jipatie CV (Wasifu) na Logo kwa bei nzuri.
CV (WASIFU) - Huandikwa kuonyesha uzoefu wa kazi, elimu, ujuzi, mafanikio yako ya kitaaluma, nia na malengo yako ya baadae.
LOGO - Logo husaidia katika kuitambulisha kampuni au bidhaa. Unapoiona Logo mara kwa mara unakuwa na uwezo wa kuitambua haraka...