Recent content by Inu

  1. I

    JamiiForums Tanzania Majogoo ya kisasa

    Habari wana JF Mimi natafuta majogoo ya kisasa ambayo yameanza kuwika au yako karibu sana na kuanza kuwika. nahitaji mengi zaidi ya hamsini. kwa yeyote anayefahamu mahali yanauzwa naomba anijuze. nahitaji kwa ajili ya kuyatumia kwenye mitetea ya kienyeji ili zipatikane kuku chotara. Asanteni sana.
Back
Top Bottom