Recent content by IKB

  1. IKB

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Umeshauza au bado ipo?
  2. IKB

    iPhone used inauzwa

    Nauza iphone 7G rangi nyeusi yenye Gibi 32 imetumika. Inatatizo moja ya hom buttun haifanyi kazi! Bei Tsh400,000 Kingereza Hi I am selling my used iphone 7G 32Gb black color, it has only one problem, the home button does not work! Price Tsh400,000 Kifaransa Salut je vends mon iphone 7G de...
  3. IKB

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Kwanza Samsung garama kubwa ipo kwenye kioo! Ndo Kinathamani sana, kioo cha A20 ni 160k lakn ukitaka kuza simu mbovu utaambiwa 50k Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. IKB

    Fundi simu Kariakoo

    160k jipya Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. IKB

    Fundi simu Kariakoo

    A8 ya mwaka gani mkuu? Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. IKB

    Fundi simu Kariakoo

    Daa kwanza nikupe pole kwa kutokujibu kwa wakati! Trey line ya nokia 6.1 ndio waweza pata nitafute kwa njia ya simu kama hujapa bado... Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. IKB

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Upo wapi? Namba yangu 0744778873 Fundi Simu Kariakoo Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. IKB

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nitafute kwanza kwa namba hiyo 0744778873 Fundi Simu Kariakoo Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. IKB

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Huna nia ya kuuza hiyo cm note 4 M1.3 kwel? Na note 8 utauza bei gani? Acheni sifa Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. IKB

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Kwanza hiyo simu S2 vision yake ni ndogo mno! Na kama hailet majibu ukiuliza salio hapo inabidi ibadilishwe file yaani (firmware update) pia huwezi uza kwa bei hiyo and I think hata whatsapp for now haisapote tena coz ya old vision. Me ni FUNDI SIMU KARIAKOO hardwares na software. asante Sent...
  11. IKB

    Wauza smartphone tukutane hapa

    A3 550000 na A40 ya mwaka huu bei gani ? Mbona mna bei zaajabu saana? Wekeni bei kulingana na wakat sio ulinunua bei ghali na wewe wataka ulipize kisasi hamtukomoi sisi... [emoji1492] Sent from my iPhone using JamiiForums
  12. IKB

    Tupia picha ya michezo ya watoto

    Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. IKB

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Inch ngapi hiyo TV? Sent from my iPhone using JamiiForums
  14. IKB

    Fundi simu Dar Es Salaam

    Hiyo ni kazi ya polisi sio ya kiufundi
  15. IKB

    Fundi simu Dar Es Salaam

    Sorry kwa kutokujibu mapema! Ebu nipigie kwenye namba nilizoweka hapo chini ya tangazo unieleze vizuri shida ya simu yako! Maana kuganda kwa simu kuna sababu nyingi! Kwenda labda inaganda upande wa Screen touch, au software ya inadai kuflash NK...
Back
Top Bottom