Recent content by ihama107

  1. I

    SoC01 Baadhi ya faida na hasara za utandawazi

    c NA ISMAIL MAYUMBA Dunia kiganjani ni msemo wenye kumaanisha kuwa unaweza kuimiliki dunia na kuiona yote kiganjani mwako kutokana na ukuaji wa utandawazi duniani na kuzidi kupunguza ukubwa wa kuelezea utandawazi kwani zamani walikuwa wanasema dunia imekuwa kama kijiji ila saivi dunia imekuwa...
  2. I

    SoC01 Mzee na Kundi la Vijana

    Na imani mtaisoma kazi yangu ya uandishi na kunipigia kura ili niweze kuwa mshindi 🙏 🙏 🙏
  3. I

    SoC01 Mzee na Kundi la Vijana

    Na ISMAIL MAYUMBA Kundi la vijana wakiwa kwenye mgahawa ambao ulio wazi kiasi cha wapita njia kuwaona. Vijana wakiwa wanakula chakula na kufurahi na hata pale walipotosheka na chakula bado waliagiza kingine na kukichezea. Mzee akapita akiwa na mkongojo wake unaomsaidia kutembea. Akawaona na...
  4. I

    SoC01 Wasafiri wawili

    Na imani mtasoma kazi yangu ya uandishi na kunipigia kura niweze kushinda 🤲🙏
  5. I

    SoC01 Wasafiri wawili

    ISMAIL MAYUMBA Watu wawili wakiwa wameianza safari ya baharini, wakiwa kwenye jahazi na safari yao ikigharimu miaka yao tisa katika kuishi. Sio kama awali bali saivi bahari ina machafuko na vimbunga vya kila aina na mawimbi yanayotisha. Ikafika kipindi wakaanza kusikia njaa na kwa bahati...
Back
Top Bottom