Hussein Massanza ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC.
Singida Big Stars ni timu inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kuanzia msimu wa 2022/2023 baada ya kufuzu kutoka Ligi ya Championship ambapo ilikuwa ikifahamika kwa jina la DTB FC.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.