Ziko Jeep Grand Cherokee hadi za 2013, ila sema tu bei zake zina mashiko kwelikweli..... hiyo niliyoposti hapo juu ni under 100thou km. Very fine and running strong for the next 10yrs + bila engine overhaul, important issue ni must kufanya regular maintenance, after every 3thou km!
Bulldog duuuh....nakuvulia kofia mzee..:clap2:..:clap2:..:clap2:....hiyo kitu ndani ya USA... imetulia, ila sijaiona kwenye suppliers' list, naendelea kuitafuta nikokotoe bei yake hadi Dar Port na kodi zote za TRA!
Karibu sana, HoneyWay International.
Haya....A Very Special Offer!!!!...Toyota Altezza ya Mwaka 2001..... kitu presentable! Mwenye Tsh.7M cash atupie 'down payment' hapa HoneyWay International apate mzigo wake ndani ya 60 days! Balance ni Tsh.5M, inalipwa laki tano kila mwezi kwa 10 months! No riba/interests, no hidden strings...
Mr Mtu hapo Mwanza unaweza kupata huduma yetu kwa urahisi sana! Ofisi yetu imejipanga kuhudumia wateja wetu wa mikoani bila shida. Ukiwa tayari na bajeti yako tafadhali tuwasiliane nikupe maelekezo zaidi.
businezz_oligarch kuna gari bomba sana kwenye stock yetu Year2000 Toyota Altezza kwa ofa ya down payment TSh.7M tu. Balance Laki 5 kila mwezi for just 10 months! Total Price TSh.12M Only!
Bulldog welcome! we have in our supplier's stock; 2002 Black Jeep Grand Cherokee 3700cc, Excellent Condition. Price: TSh. 19M. Down Payment TSh.11.4M, Balance TSh.7.6M/10months = TSh.760,000/-per month.
"Beforward" si miongoni mwa suppliers wetu, tunaendelea kukokotoa bei zake kuona kama zitakidhi vigezo vyetu kwa faida ya wateja wetu. Ofisi zetu ziko jijini Dar es Salaam, mtaa wa Samora, karibu sana utuletee wateja ila wasiwe wa 'kufa mtu', maana tunapenda wateja "live" wafurahie huduma zetu...
mandieta Uthibitisho wa kupewa gari lako ndani ya siku 60 unafungwa na mkataba ulioshuhudiwa na wakili aliyesajiliwa na Mahakama Kuu ya Tanzania.
1. Baada ya malipo yako ya awali ya 60% fedha zinatumwa kwa Supplier wetu Japan na unapewa copy ya B/L document inayoonyesha jina lako kama "Notify...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.