Forums
Trending
New Posts
Log in
Register
Style variation
System
Light
Dark
Trending
Search
Search
Search titles only
Note
By:
Latest activity
Register
Our Community
JamiiCheck
FichuaUovu
Stories of Change
Start Discussion
Coming Soon
JamiiCourses
JamiiData
JamiiShop
Premium Content
Regional Communities
Coming Soon
Tanzania
Uganda
Kenya
Rwanda
DRC
Zambia
Zimbabwe
Menu
Log in
Register
Navigation
More options
Style variation
System
Light
Dark
Contact us
Close Menu
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Hismastersvoice's latest activity
Hismastersvoice
replied to the thread
Mwigulu hana ulinzi kama aliokuwa nao Hayati Magufuli, wala Samia hawezi mpa ulinzi huo! Wahuni sio watu wazuri!
.
Dereva tax ni nini? Hakuna dereva anayeweza kuendesha kodi, hiyo Tax isomeke TAXI ambayo ni gari ya kukodi.
Mar 7, 2026
Hismastersvoice
replied to the thread
DOKEZO
Kwenu uongozi wa Temeke hospital
.
Hiyo hospital ilitangazwa kuwa Itakua chini ya uchunguzi, inawezekana huo uchunguzi nao unafanyiwa uchunguzi.
Mar 7, 2026
Hismastersvoice
replied to the thread
PostGE2025
Balozi wa Tanzani UN-DR. Abdallah Possi azimiwa mic na hotuba yake nzito yenye maelezo ya kweli na ya kina kuhusu uchaguzi wa Tanzania2025 yakatishwa
.
Badala ya kuelezea uchaguzi uliofanyika asubuhi anakuja na porojo za jioni wakati upigaji kura umekwisha! Nchi na jumuiya zote za Afrika...
Mar 7, 2026
Hismastersvoice
replied to the thread
Samia ndiye Rais wa Kwanza Kujenga Stendi Kila Mji Tanzania Hadi Mikoa Iliyokuwa Imeshindikana kama Arusha na Mbeya
.
Wenzenu wanapiga hela kupitia tend za ujenzi, hizo stendi hazimlindi msafiri dhidi ya mvua na jua.
Mar 7, 2026
Hismastersvoice
replied to the thread
Dar: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA wazuiliwa tena kuingia Mahakama Kuu
.
Huyo unayemuuliza alizuiliwa kuingia mahakamani.
Mar 7, 2026
Hismastersvoice
replied to the thread
Hukumu ya Mahakama ya Afrika yaamuru Tanzania kurekebisha Katiba ili kuruhusu malalamiko ya uchaguzi wa urais kusikilizwa mahakamani
.
"Who are you"! Mbona nyie hamfanyi hivyo kwenu, tulichukua hatua hiyo ili kulinda uhuru wa watanzania.
Mar 7, 2026
Hismastersvoice
replied to the thread
Ushauri kwa Serikali kupitia TANROAD, ni afadhali kutokujenga barabara za lami zenye kiwango cha chini mpaka pale budget kubwa itakapopatikana
.
Barabara bora hujengwa kwa zege, ila la! Tatizo hazina ripea huku sisi tuna familia, tutaishije.
Mar 6, 2026
Hismastersvoice
replied to the thread
Watu wasio na hatia wanauawa kinyama na makombora ya Mmarekani Iran. Kesho unasikia mtu anabetua mdomo wake anataka uchunguzi Ufanyike Tanzania
.
Lukasi, umesahau mmewakataza wanachadema kushiriki siasa nchini, mmewataza hata mabinti wasishiriki siku ya wanawake duniani! Wakati...
Mar 6, 2026
Hismastersvoice
replied to the thread
Khalifa: JAB wanatakiwa kukemewa na watu wote kwa ukandamizaji wanaofanya kwa waandishi
.
Fani ya uanahabari nchini Tanzania imetawaliwa na uchawa, mwanahabari anayetegemea bahasha na usafiri kutoka kwa anayekwenda kuandika...
Mar 6, 2026
Hismastersvoice
replied to the thread
Tanzania yajibu Baraza la Haki la Umaja wa Mataifa yalitokea Oktoba 29, 2025. Hatua zilizochukuliwa zililenga kuzuia vurugu, kulinda utulivu
.
Mtu anayejali haki ya mtu kuishi hawezi kumfyatulia risasi mtu asiyekuwa na silaha ambaye hana tishio lolote kwake, anayefanya hivyo ni...
Mar 5, 2026
Our Community
JamiiCheck
FichuaUovu
Stories of Change
Start Discussion
Coming Soon
JamiiCourses
JamiiData
JamiiShop
Premium Content
Regional Communities
Coming Soon
Tanzania
Uganda
Kenya
Rwanda
DRC
Zambia
Zimbabwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
Accept
Learn more…
Back
Top
Bottom
Menu
Forums
New posts
Log in
Register