Recent content by Hindi H

  1. H

    Hiki kiburi, jeuri na dharau Prof. Kitila Mkumbo nguvu anaipata wapi

    Huyu Prof Mjanja Mjanja mache aendlee na tabia zake ukisikiliza ile hotuba ya Comrade Polepole ina muhusu 100%, Kama ni Mimi hata form ya Ubunge sitachukua unaweza jikuta unakosa vyote, Hawakukosea waliosema mtaka mtaka mbili kwa pupa………
  2. H

    Waziri Ummy: Serikali haitoi taarifa za COVID-19 kutokana na zoezi la uhakiki wa maabara ya Taifa

    Yupo Sahihi Kabisa Waziri wetu 👏👏👏 Kuendelea kuwakumbusha watanzania kuwa Makini.
  3. H

    Freeman Mbowe Aongea BBC, amvaa upya Rais Magufuli kuwatumbua wahusika wa upimaji wa vipimo vya Corona

    Hana jipya huyo Mbowe Unafungaje sehemu inyotegemewa na Tanzanja kwa 80%. Anataka Tanzania ipambane na Ajenda mbili Corona + Uchumi ili wapate Ajenda ya Kisiasa? Hao Wanaohoji kwanini wasijioji wao kwanini watu wamekufa sana ukiloganishwa na China 😂
  4. H

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

    Kudeal na Corona kunaanza na kushughulikia wataalam wazembe, Acha kupotosha wewe jitihada zote za serikal ikiwemo kupeleka Ndege Madagascar hauoni tuu?
Back
Top Bottom