You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly. You should upgrade or use an alternative browser.
Hekimaninjema
MUNGU HUTIMIZA MAPENZI YAKE
Kuwa Makini Usitumie Neno Lazima.
Iwapomtumishi wa Mungu au mtu yeyote atasema ya kwamba kila akiombacho lazima Mungu atafanya, hiyo siyo njiani sahihi. Nasema hivyo kwa sababu Mungu yeye ni kuu, enzi na mamlaka yote binguni na duniani ni yake. Yeye anajibu maombi yetu sawasawa na mapenzi yake. Kwa hiyo haiwezekani mtu yeyote ambaye ni kiumbe aliyeumba na Mungu amlazimishe au kumshawishi kwa njia ya kuomba kwa imani. Lakini mtu aupendezaye moyo wa Mungu akiomba kitu chochote kwa imani na unyenyekevu huyo humsikia na kumpa haja ya moyo wake. Ndio maana imeandikwa "...Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni.]" Luka 11:2. neno-maandiko.blogspot.com
Gender
Male
Trophies
25
Somebody Likes You
Somebody out there liked one of your messages. Keep posting like that for more!
20
First Message
Post a message somewhere on the site to receive this.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.