Recent content by Health service

  1. H

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata tiba ya vidonge asilia kwa tatizo hili?

    Cc: MziziMkavu King'asti & co.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata kioo cha meza?

    Nenda kariakoo.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Tiba asili za macho zasababisha upofu.

    Kama ni hivyo itakuwa ni hatari.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kuishiwa Damu Mwilini

    Nimeshapoa mkuu, kwa sasa hata mimi nakunywa maji mengi na mboga za majani na matunda kwa wingi, kwani nilikuwa nadondoka mara kwa mara.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kupona .

    Huo umri unaousema ni sawa na umri wa mzazi wangu, hata miaka 30 sijafika.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kupona .

    Mkuu matatizo yangu hayajafikia huko unakodhani. tatizo langu nikitaka kusoma au kuandika ni hadi nisogelee kitu karibu hata simu pia yaani kama unavyomuona albino anavyotumia simu kwa kuisogeza karibu na uso. nje ya hapo natembea vizuri na kufanya mambo yangu kama kawaida.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kuishiwa Damu Mwilini

    Mkuu ulipimwa damu? mimi pia nilipimwa nikaambiwa nna damu kidogo, katika maelezo niliyomueleza daktari ni kuwa si mtumiaji mkubwa wa maji, nikaandikiwa dawa moja ya maji na vidonge nikatumia huku nikishauriwa kula mboga za majani kwa wingi na kunywa maji mengi, tena bora wewe utakuwa umewahi...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kupona .

    Ntamtafuta tu! nauliza matatizo ya mdogo wako yalikuwa kutoona mbali au macho kuuma? maana umesema alikuwa na matatizo kama yangu.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kupona .

    Alikuwa anasumbuliwa kwa namna ya kutoona mbali au macho kuuma? je unaweza kuniambia alitibiwa mwaka gani na kwa bei gani ili nikadilie kabla ya kumtafuta?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kupona .

    Nashukuru! ila mkuu ndugu yako alitibiwa kwa muda gani hadi kupona? na je tatizo ni la lini?
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kupona .

    Anapatikana wapi? na je naweza kupata mawasiliano yake?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kupona .

    Sasa kutumia miwani nayo ni tiba?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kupona .

    Wapi nimesema situmii miwani au siitaki? mimi natumia miwani ila natafuta tiba.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kupona .

    Mkuu ni hivi;miwani sijagoma na ninaitumia daily ila ninachotaka ni tiba nirudi kwenye hali yangu ya kwanza.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kupona .

    Mkuu Ukwaju miwani natumia lakini hata sasa, na hata bila miwani nafanya shughuli zangu ila ni ukaribu zaidi, mfano naweza kusoma na kuandika chochote ila ni hadi nikisogelee kwa ukaribu.
Back
Top Bottom