Mimi ni mwandishi na mtunzi wa riwaya nchini Tanzania, niliyeandika riwaya zaidi ya kumi zenye kugusa mambo mbalimbali kwenye jamii. Zikiwemo;
-JINAMIZI
-WAKALA WA GIZA
-WITO WA KUZIMU
-TENDAGURU
-NSUNGI
-DHAHAMA
-KOSA
-ASKARI JELA
-MNASIHI
-MWANGAMIZI
-MWANACHUO
-SHUJAA
Hivi Mimi sasa ni mwanachama wa Umoja wa waandishi wa riwaya wenye dira(UWARIDI) Tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.