Recent content by Hassaan

  1. H

    JamiiForums Msaada na Ushauri: Ninasumbuliwa na allergy

    Naitwa Hussein nipo Arusha, ninasumbuliwa na allergy ambayo nawashwa sana koo na wakati mwingine natokwa na kwenye fizi nimekuwa natumia Predinisolone. Tangu 2014 zinanisaidia kidogo, je nifanye nini ama nitumie dawa gani itakayonisaidia? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom