Recent content by Harieth charles

  1. H

    Shamba la miti (mitiki) linauzwa, heka 14 na nusu

    Sana ila unahitaji uvumilivu tu maana kuvuna ni kuanzia miaka 15 - 20 na unaweza ukaamua kuuza miti tu bila Aridhi
  2. H

    Shamba la miti (mitiki) linauzwa, heka 14 na nusu

    Asante ndugu kwa kuelewa, na ni Kweli negotiations zinakubalikq
  3. H

    Shamba la miti (mitiki) linauzwa, heka 14 na nusu

    Na umebiwa “shamba la miti” sio “miti inauzwa”
  4. H

    Shamba la miti (mitiki) linauzwa, heka 14 na nusu

    Tatizo unakurupuka tu kujibu ndugu umeambiwa shamba lina miti zaidi ya 4000 na hapo kuna vititia na Lina acre 14 kwaio ulitaka iuzwe miti bila ardhi? Kwenye biashara kama hizi watu hawakurupuki shamba limefanyowa evaluation na wataalamu. And by they it’s clear kua Haya sio mambo yako kwaio ni...
  5. H

    Shamba la miti (mitiki) linauzwa, heka 14 na nusu

    Habari, Shamba la miti (mitiki) LINAUZWA, heka 14 na nusu Miti: 4000 na zaidi yenye umri wa miaka 14 Bei: 500m miti elfu 4000 na kuendelea Mahali: Tanga, Muheza kijiji cha kiwanda Document: zina process manispa
Back
Top Bottom