Wataaramu naomba msaada me ni mjamzito wa miezi tisa lakn nasumbuliwa na maumivu ya mgongo,kiuno na tumbo lakn yanakuja yanakata halafu yanaanza tena baada ya masaa kadhaa naomba msaada kwa wenye uzoefu plz
Wataaramu was afya naomba msaada
Me ni mjamzito wa miezi tisa lakin nasumbuliwa na maumivu ya kiuno,mgongo na tumbo kalibia inafika wiki na nusu lakn cyo ya moja kwa moja kina muda yanaacha na kurudi ka baada ya masaa kadhaa plz nisaidie kwa wenye uzoefu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.