Recent content by hanayna

  1. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kiingereza kifundishwe katika masomo yote ila somo la Kiswahili katika shule za kata za msingi

    MABADILIKO KATIKA SHULE ZA MSINGI ZA KATA KUTUMIA LUGHA YA KIINGEREZA Katika dunia ya sasa nchi nyingi watoto na vijana wanaenda shule kujifunza mambo mbalimbali watakayoyaitaji kwa maisha Yao ya baadae, shule ni sehemu ambayo watu hujifunza mambo mengi ambayo huwasaidia katika kuyakabili maisha...
  2. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi nilivyoepuka kukeketwa

    Habari zenu wote natumai mpo salama. Mimi ni binti nileyenusurika kupata tohara (kukeketwa), katika kijiji chetu au kabila letu kuna utamaduni wa mtoto wa kike(msichana) kukeketwa, wao wanamtazamo kuwa mtoto wa kike(msichana) akishapata tohara anakuwa ni msafi , analeta hadhi katika ukoo...
  3. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nguvu ya Sayansi, Teknolojia na Jamii ya sasa

    Shukrani🙏
  4. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nguvu ya Sayansi, Teknolojia na Jamii ya sasa

    Ahsantee sana🙏
  5. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nguvu ya Sayansi, Teknolojia na Jamii ya sasa

    UTANGULIZI: 🔖Hivi sasa dunia 🌎imeangaza na kutumia teknolojia mbalimbali katika nyanja tofautitofauti ili kuweza kurahisisha mambo mbalimbali kidijitali💻, teknolojia sasa inafanya watu kujipatia kipato, ujuzi na vumbuzi mbalimbali kutokea kwa kundi la watu au mtu binafsi duniani kiujumla zamani...
Back
Top Bottom