Recent content by Hambri

  1. Hambri

    Huu mti unapatikana wapi?

    Curry leaf tree kwa kiswahili fasaha unaitwa mvuje na kwa tanzania nimeiona sana maeneo ya unguja mara nyingi hutiwa katika chips za mihogo chauro za dengu na kwenye biriani, nimajani yenye harufu moja kali hivi hata ukipia karibu na mtihuo utaisikia harufu yake. Inapatika huku kwetu zanzibar...
Back
Top Bottom