UTANGULIZI
Neno 'HAKI' ni changamani ambalo linahusiana na namna ambavyo mtu anapata jambo analostahiki bila ya kikwazo chochote, na neno 'MSHANGAO' Linamuangazia mtu ambae ameshindwa kuamua baada ya mawazo yake kushindwa kuthibitisha baina ya vitu viwili ambavyo kuaminika kwake ni vigumu au...
UTANGULIZI
Nifaraja kwangu na Waswahili wote katika mwambao wa Afrika Mashariki hata wale wapenzi wa Kiswahili ambao watasoma andiko hili tena kwa kutumia hicho hicho Kiswahili.kwa sasa Kiswahili hatuwezi kukifasiri kwa ukubwa wake kwani kina ithibati ngingi ambazo zinakipambanua na kukifanya...
UTANGULIZI.
Ni miaka mingi sasa, kuna ukakasi katika mfanano wa Matokeo ya Kidato cha Nne na Sita, Licha ya kuwepo mfanano huo kuna Utofauti wa Matokeo hayo baina ya Skuli na Skuli, wilaya na wilaya, Mkoa na mkoa hata katika ngazi ya Taifa ambapo kuna baadhi ya Skuli zinaonekana kung'ra huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.