Kiwanja kinauzwa Makongo juu. Ukubwa Sqm 500 KIMEPIMWA. Kiwanja kipo ktk mazingira mazuri yasiyokuwa na msongamano wa Majengo.
Kipo mita chache kutoka barabara kuu ya Lami iendayo Mlimani city.. Bei 75m Maongezi yapo... 0743941142.
Je, umekuwa ukitafuta kiwanja kwa Ajili ya makazi au biashara maeneo ya Makongo juu, Goba na Madale? Viwanja vyenye ukubwa tofautii tofautii vizuri vinapatikana kwa Bei nzuri kulingana na maeneo hayo.
Makongo juu:
Sqm 500 70m.
Sqm 500 75m
Sqm 600 120m
Sqm 300 40m.
Goba
Kuanzia 30m na...
Nyumba yenye vyumba vitatu kimoja master, Sebule, Jiko, Dinning na store Inauzwa Makongo juu.
Nyumba haipo mbali na Barabara kuu iendayo Goba na mlimani city! Nyumba ipo ndani ya fence yenye Gate! Ukubwa wa Eneo lake ni sqm 270 Kuna hati....... Bei ni 120m Kuna maongezi 0743941142.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.