Recent content by Gordon Technology

  1. Gordon Technology

    Fundi wa gps track in Dar es salaam

    Bei hutofautiana na sehem inapoenda kufungwa km ni pikipik,gari au bajaji...mfano pikipiki ni 150,000 na utaweza kuzima pikipiki kwa kutumia simu hata km haupo nayo pikipiki au imepelekwa nje ya wilaya au mkoa(cut off engine/electricity).
  2. Gordon Technology

    Fundi Wa Cctv Camera in Mwanza

    Piga 0746373222. Je? Unaishi mkoa wa mwanza au mikoa ya kanda ya ziwa na umekuwa unajiuliza wapi utapata mafundi wa cctv camera(Specialists of security system) ndani ya mwanza. Km jibu ni ndiyo basi majibu yako ni rahisi sana wasiliana nasi kwa kupiga namba hiyo hapo(0746373222) na utapata...
  3. Gordon Technology

    KIitasa Cha Kufungua Kwa Uso Wako/Sura (Face Id Unlock)

    Hahahahhahahh 🤣🤣🤣🤣 wameshindwa kuandika essay juu ya mfumo wa maendeleo yao binafsi unajaza essay kwny kazi ya mtu...kweli nchi ni ya ahadi.
  4. Gordon Technology

    KIitasa Cha Kufungua Kwa Uso Wako/Sura (Face Id Unlock)

    Agiza china au ukiweza fungua na ww duka lipa kodi ya pango,mshahara kwa wafanyakazi,mapato na tra,ushuru wa jiji,transportation fee na mengneyo mengi afu tuone utauza kwa bei ipi ili ubaki kwny ramani ya biashara!
  5. Gordon Technology

    KIitasa Cha Kufungua Kwa Uso Wako/Sura (Face Id Unlock)

    Hamna spana hapo mkuu,wote hawana hela hao..! Mwny hela hanaga kelele
  6. Gordon Technology

    KIitasa Cha Kufungua Kwa Uso Wako/Sura (Face Id Unlock)

    Anashangaa kuona bei yng na wkt mm nilipoishiwa mzgo nikaamua kuuliza bei kwa mfanyabiashara mwngne ili nimpe mteja wangu...bei niliotajiwa ndio nikagundua kuwa bei yangu ilikua nzuri sana kuliko pengne...ikabdi niagize mzgo wangu nje ya nchi na mteja alivumilia mpk ulipofika.
  7. Gordon Technology

    Back Up Power For Cctv Camera

    Contacts☎️0746373222 Kwa wale ambao wamefunga mifumo ya cctv camera kwa ajili ya ulinzi na pia una hitaji hata kama umeme ukikatika basi cctv camera ziendelee kufanya kazi basi suluhisho lako tunalo. Sote tuna tambua kuwa umeme unapokatika basi cctv camera huzimika mpk pale umeme wa tanesco...
  8. Gordon Technology

    KIitasa Cha Kufungua Kwa Uso Wako/Sura (Face Id Unlock)

    KITASA CHA KUFUNGUA KWA SURA YAKO(USO) ☎️0746373222 Njia sita za kufungua kitasa hiki cha kisasa. 1. Utambuzi wa uso( Face recognition) 2. Fungua kwa simu(Remote unlock) 3.Tumia namba ya Siri(Passcode) 4.Kadi 5.Alama za vidole(Fingerprint) 6.Funguo(Key) Kitasa kina uwezo wa kuunganishwa na...
  9. Gordon Technology

    Fundi wa gps track in Dar es salaam

    Yategemea na utaratibu wa kampuni itakayokupa huduma ya Gps... kwa mfano wengine wanachaji kila mwaka kiasi fulan lakini kwa mwaka wa kwanza hua ni free...... pia yapo makampuni yanachaji kila mwezi. Sisi tunafanya free mwaka mzima ..then baad ya hapo ndio kuna asilimia kdg utakua ulipa kila...
  10. Gordon Technology

    Elimu ya GPS tracking na faida zake

    Nipigie kwa maelekezo ya ziada... GPS unaweza kuifunga ktk tv,radio,laptop,desktop,nk... 0746373222
  11. Gordon Technology

    Elimu ya GPS tracking na faida zake

    Ya kuweka ktk kiatu ndio hiyo ambayo unaweza kuiweka ktk begi au mfuko wa shati au suruali
  12. Gordon Technology

    Elimu ya GPS tracking na faida zake

    Ipo gps track ya kuweka ktk begi au mfuko wa suruali au shati kwa ajili ya ulinzi wa binadamu kujua sehem alipo au anapokwenda... unaichaji km unavochaji simu yako
  13. Gordon Technology

    Fundi wa gps track in Dar es salaam

    Piga 0746373222.....Je, unamiliki gari,pikipiki au bajaji(chombo cha moto)? Je,unataka kukilinda na kukifatilia chombo chako popote kinapokwenda? Je,Umechoka kupewa taarifa za uwongo na dereva wako kuhusu chombo chako cha moto? Tupigie ☎️0746373222 tukuambie namna ya Kutumia Gps tracker...
  14. Gordon Technology

    Fundi wa cctv camera in dar es salaam

    Gharama inategemea na idadi ya camera unazohitaji pia aina za camera... unaweza kutupgia 0746373222
Back
Top Bottom