Tunashughulika kwa sasa launch ya Bongo Sista. Launch ikifanyika, itapatikana madukani. Kwa hivi sasa kama una iPad au iTunes account unaweza kuipata hapa: bit.ly/goingbongoitunes
Asante @MTAZAMO Jambo tulilozingatia kusema ukweli ni uigizaji mzuri kwanza na kuona kama waagizaji tunaowachagua wanafit movie. Kama mamiss wana uwezo tunaweza kuwazingatia. Lakini hatuwezi kumchukua Miss ambaye hawezi kuigiza kwa vile yeye ni Miss. Mmoja ya waigizaji wetu alikuwa ni dada...
Nyumbani itakuja. Sijui kama unaelewa soko la nyumbani lilivyo, lakini lina watu kama wawili/watatu. Unless mtu anataka aingie hasara inabidi atafute njia mbadala. Kwa sasa bado tupo kwenye "negotiations". Tunatumaini mpaka mwisho wa mwezi ujao zitakuwa madukani.
Asante kapolo. Asante kwa support yako. Tunahitaji support yenu wote. Tafadhali share na watu walio kwenye mailing list yako au social media yako.
Links:
Trailer: bit.ly/goingbongotrailer
iTunes: bit.ly/goingbongoitunes
DVD: bit.ly/goingbongodvd
"If real development is to take place, the people...
Hamna part 2. Tukipata support from you, tutashot nyingine mwanzoni wa mwaka ujao. Sasa hivi tunaandika script. Inatuchukua zaidi ya miezi 6 kuandika script ya maana. We are planning to take Tanzanian movies to another level. Level ya South Africa and maybe beyond, Inshallah!
Tunatumaini kuzindua Dar mwishoni wa mwezi wa nane. Tulikuwa tayari kufanya hivyo hata mwanzoni wa mwaka huu. Lakini Corporate Tanzania na media za Bongo kama wenyewe mnavyoelewa ni matatizo matupu. Media zinataka kushikilia "status quo", Corporate Tanzania ni cheap huwezi amini. Mtu unamletea...
hapana bro, lol. Huyu Mtanzania kabisa... Tupo naye Dar hivi sasa. Alifanyaga Bongo Flava kitambo enzi za Zeze, Ugali etc. Alikuwa na nyimbo ya "Supastaa wa Bongo" na "Tafsiri". Pia mtangazaji wa Channel 5 kipindi cha Mutie Mengi ambayo sasa ni EATV
here you go bro,
Download on iTunes (especially if you have an iPad):bit.ly/goingbongoitunes
Order a physical DVD (for memories) : bit.ly/goingbongodvd
Wapo wasanii wa Bongo kama Mzee Chilo, McDonald Haule, Evance Bukuku, Sauda Kilumanga. Lakini wengine hawakufit the project (hakuna characters ambao wangewafaa), walikuwa na kazi zingine au hawakuwa interested.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.