Recent content by Godinho7

  1. Godinho7

    Msaada wa dawa ya fangasi sehemu za siri

    Nimerudi Leo hospital ndugu zangu nimechomwa sindano ya Power cef ila sijui inatibu nini,ila wao wameniambia Tu kuwa inatibu magonjwa mengi
  2. Godinho7

    Msaada wa dawa ya fangasi sehemu za siri

    Vinakuwa vinauma vikigusa suruali au nguo ya ndani ,ila nikivaa nguo Pana haviumi wala kuwasha
  3. Godinho7

    Msaada wa dawa ya fangasi sehemu za siri

    Nimetumia Dawa Ya fluconazole ,tube za kupaka lakini Wapi ila siku hizi mbili nimeanza kuona vidonda kwa korodani vina majimaji sijajua nataka nirudi tena hospital
  4. Godinho7

    Msaada wa dawa ya fangasi sehemu za siri

    Habari Ndugu, Mara nyingi nimekuwa nasumbuliwa na muwasho kwenye kichwa cha Uume , Nikipima mkojo naambiwa fangasi nyingi kwenye mkojo. Je, Dawa yake nini?
Back
Top Bottom