Recent content by Godfrey Jason

  1. Godfrey Jason

    Natafuta soko la tangawizi

    Mbeya Boss. Na ni mbichi bado sijaitoa shambani. Ninategemea kutoa sio chini ya tani 20
  2. Godfrey Jason

    Natafuta soko la tangawizi

    Habari zenu Wakuu? Naomba kupata updates za bei ya tangawizi mwaka huu sokoni na pia kama kuna mdau humu ni mnunuzi au anaweza kunionganisha na wanunuzi wa uhakika. Shukrani sana
  3. Godfrey Jason

    Naomba kupata updates za bei ya tangawizi mwaka huu sokoni

    Habari zenu WAKUU? Naomba kupata updates za bei ya tangawizi mwaka huu sokoni na pia kama kuna mdau humu ni mnunuzi au anaweza kunionganisha na wanunuzi wa uhakika. Shukrani sana
  4. Godfrey Jason

    Wanunuzi wa Tangawizi

    Hapana Boss, bado sijaitoa shambani. Nipe habari
  5. Godfrey Jason

    Wanunuzi wa Tangawizi

    Bado Chief, Vipi nipe mchakato!
  6. Godfrey Jason

    Wanunuzi wa Tangawizi

    Shukrani kwa update Mkuu. Tangawizi yangu bado iko shambani, matarajio yangu kuitoa kwa ajili ya kuuza mwezi wa sita mwishoni au wa saba. Nimelima kekari kama 2 na nusu, na nategemea kuvuna mpaka tani 10 na kuendelea.
  7. Godfrey Jason

    Wanunuzi wa Tangawizi

    Shukrani kwa update Mkuu. Tangawizi yangu bado iko shambani, matarajio yangu kuitoa kwa ajili ya kuuza mwezi wa sita mwishoni au wa saba. Nimelima kekari kama 2 na nusu, na nategemea kuvuna mpaka tani 10 na kuendelea.
  8. Godfrey Jason

    Wanunuzi wa Tangawizi

    Ahahahaaaaaa. Apa naweza nkaamua kula mwenyewe:)
  9. Godfrey Jason

    Wanunuzi wa Tangawizi

    Mimi nipo Mbeya na nimelima maeneo ya Tukuyu
  10. Godfrey Jason

    Wanunuzi wa Tangawizi

    Asante Mkuu kwa update
  11. Godfrey Jason

    Wanunuzi wa Tangawizi

    Habari zenu? Naomba kupata updates za bei ya tangawizi mwaka huu sokoni na pia kama kuna mdau humu ni mnunuzi au anaweza kunionganisha na wanunuzi wa uhakika. Shukrani sana
Back
Top Bottom