Kiwanja kiko kijiji cha ecolojia cha Mlingotini Bagamoyo. Kina ukubwa wa sq. Meta 2385 na ni kiwanja cha ufukweni mwa bahari na kinauzwa na Shule ya Msingi Mwasama. Pia kiwanja hicho kina nyumba ndani yake ambayo bado finishing kidogo.
Kwa taarifa zaidi na bei wasiliana na:
Mr. Respect...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.