Wadau nauza kuku wa nyama wenye uzito wa 1.5 na kuendele kwa sh 6000 napatikana morogoro naweza kutuma dar na dodoma tu. Napatikana kwa namba ya simu 0658428186 karibuni
Inategemea na mkoa ulipo. Kwasasa naweza kutuma dodoma, arusha, dar es salaam , iringa na mbeya.
Natumia mabus na nimeshatuma kote huki na wamefika salama.
Wiki nne wamechanjwa chanjo zote kasoro chanjo ya ndui ambayo wanachanjwa kuanzia wiki 7.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.