KURA ZA MAONI KASULU VIJIJINI CCM; Hiki ndio kinachoendelea
>Mwl Bunyaga atoa pingamizi (barua yabambwa akielezea hali ilivokuwa (rejea chini))
>adai kura ziliibiwa mchana kweupe, hujuma na ugushaji
>viongozi ccm wagawanyika kati ya wahujumu wachache na wapenda haki
Vuma alifunga bao la mkono
>rushwa iliyokithiri yatajwa kuwa chanzo cha uchakachuaji
>wapiga kura 370 hawajulikani walitoka wapi
>Matokeo halali yabainika Mwl Bunyaga alimshinda Vuma kwa kura 454 (nakala imeambatanishwa)
>uchakachuaji mkubwa wabainika katika matawi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.