Kuna ukweli mkubwa sana kwenye post yako mkuu ila wafia dini watakuja kujibaraguza hapa lakini hata wao ukweli huu wanaujua sana ndio maana tunakutana nao sana kwenye vilinge vya waganga wa kienyeji.
Wewe ndo unahitaji ku format ubongo wako mkuu. Kama unayachukulia kwa u serious maneno ya kwenye comment ya mtu usie mjua basi something is missing in ur head
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.