Mwanaume mwenye shauku kubwa kwa teknolojia, hasa Akili Bandia (AI), na ari ya kuleta mapinduzi katika sekta ya radiolojia hapa Tanzania. Nimezaliwa na kulelewa katika mazingira ya kijani kibichi ya Kilimanjaro Tarakea, Rombo, nikiwa Mchagga halisi ninayejivunia asili na tamaduni zangu.
Licha ya kuwa mtumishi wa umma, wito wangu halisi ni kutumia AI na teknolojia za kisasa kutatua changamoto za kiafya hasa zile zinazohusiana na uchunguzi wa magonjwa kupitia mionzi (radiology), katika jamii yangu na maeneo mengine yaliyo pembezoni.
- Birthday
-
Jun 26, 1991
(Age: 34)
- Location
-
Kilimanjaro
- Gender
- Male
- Occupation
- Radiological Technologist & Sonographer , mtaalamu wa mionzi anayebobea katika kuchukua picha za ndani ya mwili kwa kutumia vifaa vya X-ray, ultrasound, CT scan, MRI n.k., kwa lengo la kusaidia madaktari kufanya uchunguzi na tiba sahihi
-
30
Your messages have been liked 25 times.
-
25
Somebody out there liked one of your messages. Keep posting like that for more!
-
20
Post a message somewhere on the site to receive this.