Recent content by GBBS

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Asante sana kwa taarifa!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Asante sana kwa taarifa mheshimiwa!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Utanitumia akaunti na maelezo yake WhatsApp.Maana nimeshatuma sms.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nadhani njia A ni bora zaidi.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Asante sana mheshimiwa kwa kazi njema.MUNGU AKITUJAALIA TUTAWASILIANA.Kikubwa cha kupendeza una bidii kujibu mapema bila kujivuta vuta.Hiyo ni nzuri sana maana wengi wetu huwa hatuzingatii sana kwenda na muda jambo ambalo siyo jema kwa maendeleo ya mtu binafsi N.K.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Safi hii iko vizuri itafaa kwa aina ya hizo battery 1.5v.Sasa nijumlishie ili kwa neema ya Mungu tuweze kujipanga maana hizo betri tutazitumia kwa ajili ya Microphone kadhaa za Kanisani.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Kama ni kuchukua ilikuwa hii lakini kwenye maelezo yao inachaji betri za 1.2v na sio 1.5v
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mheshimiwa mtaalamu,ASANTE SANA na kazi yako ni NJEMA SANA!
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Sehemu kubwa gharama ya usafirishaji ni kama zinafanana ni kubwa sana kuliko hata ya kununulia mara nyingi!
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mheshimiwa kama utajaaliwa niangalizie na chaja ya hizo betri ili iwe rahisi. 1.5V AA 9800mAh Alkaline Rechargeable Battery with Charger for TV Remote Control Alarm Clock Flashlight Remote Control Toy, Etc https://a.aliexpress.com/_mP2bnM0
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Asante kwa ufafanuzi.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    KUTOKANA NA UZOEFU WAKO Unadhani zinachukua muda gani mpaka kuzipata?Na utaratibu wa malipo unakuwaje ili ziagizwe?
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Kwahiyo hii 632,400 ni mpaka kuzipata?
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Tunataka kwasasa idadi iwe 30pcs,sijajua kama wanauza jumla na chaja zake.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    https://www.aliexpress.com/item/1005002378953699.html
Back
Top Bottom