Kuna baadhi WA wanawake na vijana wanachukua mikopo hii Kwa kufata mkumbo TU, wengi wamekimbia miji Yao Kwa kushindwa kurejesha mkopo huo. Elimu zaidi itilewe kwa imma.
Binafsi nipo chuo kikuu sasa, lakini asilimia kubwa tuition centers zilinisaidia Dana,na kulingana na faida ulizozitaja happy, hasa kuwa chanzo cha mapato kwa serikali umeitoa wazo zuri sana. Nakutaka mafanikio ndugu mwandishi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.