Recent content by freemarkettz

  1. freemarkettz

    Tunauza miche ya matunda (papai za kisasa) bei ni Tsh. 3,000 tu

    Hizi ni papai za kisasa, papai za muda mfupi. Miche inaanza kutoa papai ndani ya miezi sita(6) hadi tisa(9) Mti Mmoja Wa Mpapai Una Uwezo Wa Kutoa Matunda 80 kwa msimu. Heka moja ya papai inachukua miche 1000. Tupo Dar es salaam na Morogoro Huduma zetu zinatolewa hadi kwa watu waliopo...
  2. freemarkettz

    Fahamu kuhusu toleo jipya la pikipiki aina ya hongha bei 1.6m

    Unayumba boss, acha uswahili
  3. freemarkettz

    Fahamu kuhusu toleo jipya la pikipiki aina ya hongha bei 1.6m

    Speak zinaingiliana na zakichina
  4. freemarkettz

    Fahamu kuhusu toleo jipya la pikipiki aina ya hongha bei 1.6m

    PIKIPIKI MPYA BEI NI MILIONI MOJA NA LAKI SITA | 1.6Million | 1,600,000Tsh. Hivi ni kwanini uache fursa ikupite, yaani pikipiki mpya kabisa inauzwa 1.6Millioni unaiachaje kwa mfano, pikipiki hizi ni mpya haijatembea hata ni 0 Kilometer. Walioshituka wanazibeba tu, mzigo unaisha na utapanda bei...
  5. freemarkettz

    Fahamu kuhusu toleo jipya la pikipiki aina ya hongha bei 1.6m

    Usikubalii kupitwa na hii Ofa, wanaozijua wazichukua kila Leo.. TUNAUZA PIKIPIKI MPYA KABISA AINA YA HONGHA BEI NI 1,600,000Tsh Aina ya pikipiki ni HONGHA, CC 125, ina gia 5, speed yake ni 120km/hr, inauwezo wa kubeba 130Kg hadi 150Kg. Bei ya piki piki ni 1.6Million Tu, na hizi piki piki ni...
Back
Top Bottom