Recent content by Frankdaniel711

  1. Frankdaniel711

    INAUZWA Subwoofer kubwa spika 3

    Nimelitupa siku ile ile nilio nunua
  2. Frankdaniel711

    Phone4Sale Infinix hot 11 ya GB 128

    ni hapo kwenye memfusion simu ram 4 izo ram za kuongeza wameweka 1ram, 2ram na 3ram mi nawekaga 3ram jumal inakuwa 7 mkuu
  3. Frankdaniel711

    INAUZWA Subwoofer kubwa spika 3

    Habari jf, nauza subwoofer yangu ni spika 3 ipo vizuri sana bado ipo kwenye warranty Nauza laki 110,000 tu Nipo chanika Dar es Salaam 0613686535
  4. Frankdaniel711

    Phone4Sale Infinix hot 11 ya GB 128

    Habari wanachama wa jf, nauza simu yangu infinix hot 11 ya gb 128 Naiuza Nina shida na hela Simu aina tatizo lolote ipo safi kabisa Gb 128 RAM 4 unaongeza hadi ram 7 ANDROID 11 CAMERA 50 MPX BETTER NI 6000MHA BEI NI 280,000 MAONGEZI YAPO mi nipo chanika dar es salaam Namba 0613686135 Ni...
  5. Frankdaniel711

    INAUZWA Subwoofer spika 3

    Habari, Wana jf nauza subwoofer yangu kubwa inch 8 ni Mr UK ina mdundo mzuri sana bado ipo kwenye warranty Sikaagi na subwoofer nikiwa na shida na hela uwaga nauza tu Bei 145,000 Nipo dar es salaam chanika njoo na hela yako uje uchukue Namba zangu 0756774813 Asante
  6. Frankdaniel711

    INAUZWA Subwoofer spika 3

    Sawa kama wewe subwoofer iyo ina mdundo wakutosha basi nyamaza
  7. Frankdaniel711

    INAUZWA Subwoofer spika 3

    Siuzi 50 boss wangu piga 0623892902
  8. Frankdaniel711

    INAUZWA Subwoofer spika 3

    Nichukue 50 na bado nibebe nipeleke sehemu kwa 50 iyoyo Asante mkuu
  9. Frankdaniel711

    INAUZWA Subwoofer spika 3

    Ata mimi siku nunua kwabei iyo dukani na sio sipendi nauza kwasababu nina shida na hela kweiyo Mida mingine uwaze kwanza cha kusema kabla ujasema
  10. Frankdaniel711

    INAUZWA Subwoofer spika 3

    Habari wana jf nauza subwoofer yangu ipo vizuri sana Volume 98 Mdundo wa kutosha Bei nauza 95,000 MAONGEZI YAPO TUTAFIKIA MUAFAKA NAMBA 0623892902 CHANIKA DAR ES SALAAM
  11. Frankdaniel711

    Phone4Sale Infinix Hot 9 play

    Habari wana jf simu yangu nauza ni infinx Hot 11 Gb 128 Ram 4 na unaweza kuongeza hadi 3 jumla 7 Camera 50 mpx Better ni 6000 MAH line 2 pia ni 4G Nauza bei ni 295,0000 Mawasiliano 0623892902 Nipo Chanika dar es salaam
  12. Frankdaniel711

    INAUZWA Subwoofer spika 3

    Wana jf habari subwoofer yangu nauza Inatumia Bluetooth, flash, memorycad Pia kwa watu wenye sola wanaweza kutumia pia Volume 98 Bei 95,000 Nipo Chanika dar es salaam Mawasiliano 0623892902
Back
Top Bottom