KARIBUNI KUPATA TILES NZURI ZA VLS
Hii ni kampuni mpya kabsa hapa Tanzania ambayo inajiusisha na uuzaji wa tiles amabazo hazitumii cement zinashikana zenyewe tuu zinakaa popote pale bei ni nafuu mno kulinganisha na ubora wake kwa maelezo zaidi piga 0763585017 tunakuja popote ndani ya dar es salaam
Sawa kabisa Sasa usijali kuhusu floor kuwa na mabonde Kuna materials zake ambazo zinawekwa chini ili kupata level ambazo materials hizo hizo hutumika Kama sounds proof yani hata ukiangusha kijiko hazipigi kelele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.