Nimefungua studio Mkoa mpya wa SIMIYU wilaya ya BUsega LAMADI, nahitaji mpiga guitar mzuri mzoefu kwa guitar la solo na bass, ambaye tutakuwa tukiwasiliana kila kazi inapotokea studio kwangu #NB awe maeneo ya kanda ya ziwa. Hususani mkoa mpya wa SIMIYU ama karibu.
Tuwasiliane kwa no. 0745907607
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.