Unatumia chumvi ya Aina gani?
Unakoga kwa maji ya mvua,kisima,dimbwi,bwawa
Mto au bomba?
Maji naoga ya bomba...chumvi ni hizi za kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekumbwa na miwasho sehemu za mwili hasa kwenye maungio sehemu za tumbo na kwenye mapaja bila vipele isipokuwa vipele vimetoka kwenye makende na kwenye mashine(uume). Vinawasha mno nikivichokoza na raha kuvikuna.
Hali hii haijaanza leo na nimeshapata vipimo zaidi ya mara moja ila havikuja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.