Recent content by Fatma Abrahman1

  1. Fatma Abrahman1

    Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

    Sina hiyo tabia ya kuvaliana nguo na mtu kabisa yani
  2. Fatma Abrahman1

    Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

    Nnaoga na detol siku zote labda sabuni gani waweza nishauri?
  3. Fatma Abrahman1

    Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

    Nimetumia dawa za fungus lakini sijapata nafuu
  4. Fatma Abrahman1

    Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

    Astaghfirullah mungu atanisamehe kwa tako gani nililokuwa nalo hadi niibe hao wanaume za watu dah jamn kwanza kaka angu mimi sina shida ya mume wa mtu kabisa. Na namuogopa huyo mume wa mtu siwezi na Mungu ananiona na mimi nafunga Ramadhan subhanna Allah niibe mume wa mtu jamn
Back
Top Bottom