Recent content by fasi dwasi

  1. fasi dwasi

    Msaada: Kwa mwenye ufahamu kuhusu hospitali kubwa upande wa magonjwa ya mfumo wa upumuaji kama Mapafu, Pneumonia, Tb

    Natafuta hospitali ambyo inatoa huduma bora ktk vipomo na matibabu ya magonjwa ya kifua, mfumo wa upumuaji hasa Pneumonia, TB na matatizo ya mwili nzima lakini ni hapa Dar.
  2. fasi dwasi

    Msaada: Siku sita tangu nianze dawa za TB nasikia maumivu makali sana ya uti wa Mgongo

    Members naona wengi wamekuwa wakichanganywa na maelezo ya mara kwa mara yaani post nyingi halafu kila moja inaelezea hali tofauti niliyonayo. Nimeona niweke full mkanda: Nilipelekwa hospital nilikiwa sijitambui kwa case ya kupata pumzi yaani kuhema sana pumzi fupi fupi na hewa yaani shida...
  3. fasi dwasi

    Msaada: Dawa gani ni ya kuponyesha haraka vidonda vya mdomoni, kwenye ulimi?

    Hii siyo la leo Mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. fasi dwasi

    Msaada: Nataka kusitisha dawa za TB baada ya wiki

    Carlos The Jackal, Hapa nilipo nina mabomba ya kujisaidia Nina machine na mirija ya kupumua puani Sent using Jamii Forums mobile app
  5. fasi dwasi

    Msaada: Nataka kusitisha dawa za TB baada ya wiki

    Jamani nimepewa dawa za TB lakini sikupimwa chochote hata kikohozi kwa sababu nilikuwa sikohoi na sijawah kukohoa ni sijapma TB, baada ya kuwa na hali mbali kwenye mfumo wa upumuaj nipo poa sasa baada ya kutumia machines na dawa. Sasa najiuliza sina dalili za TB sikohoi kabisa nilikuwa nakohoa...
  6. fasi dwasi

    Msaada: Dawa gani ni ya kuponyesha haraka vidonda vya mdomoni, kwenye ulimi?

    Nipo naumwa jamani sasa katika swala la lishe naona napata changamoto sana vidonda vinanipa shida sana ndani ya mdomo na ulimi. Nimejaribu kutumia vitamin B complex lakini naona dozi inaishia haviponi Anayejua dawa nzuri ya hiki kitu msaada Sent using Jamii Forums mobile app
  7. fasi dwasi

    Msaada: Siku sita tangu nianze dawa za TB nasikia maumivu makali sana ya uti wa Mgongo

    Mlo unapatkana ingawa appetite ni shida ila najilazimisha hvyo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. fasi dwasi

    Msaada: Siku sita tangu nianze dawa za TB nasikia maumivu makali sana ya uti wa Mgongo

    natumia painkiller sahz Sent using Jamii Forums mobile app
  9. fasi dwasi

    Msaada: Siku sita tangu nianze dawa za TB nasikia maumivu makali sana ya uti wa Mgongo

    Aina y dawa imeandikwa 2RHZE/4RH Sent using Jamii Forums mobile app
  10. fasi dwasi

    Msaada: Siku sita tangu nianze dawa za TB nasikia maumivu makali sana ya uti wa Mgongo

    Af nakohoauteleze tu siwez kuutema nameza coz ni uteute tu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. fasi dwasi

    Msaada: Siku sita tangu nianze dawa za TB nasikia maumivu makali sana ya uti wa Mgongo

    Jamani nina maumivu makali sana tena sana kwenye uti wa mgongo na leo ndio siku y 6 tu tangu nianze dozi za TB Naombeni ushauri hii ndio TB tu au kuna tatizo jingne maana Daktari amenijibu endelea na dawa tu ila nateseka nimelala kitandani napata maumivu makali kwenye uti wa mgongo. Msaada...
  12. fasi dwasi

    Msaada: Napata wakati mgumu sana kulala tangu nianze kuugua

    Ila ndio kwnza npo kwny matibabu y TB sijwez hta cjaweza kukaa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. fasi dwasi

    Msaada: Napata wakati mgumu sana kulala tangu nianze kuugua

    Me cjawah kuubahatisha hata robo saa mchana npo macho usiku npo macho npo na doz za TB mfumo w upumuaj unaleta shida Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom