Habarini nfugu zangu wana JF.Naomba sapoti yako ikiwa ni mdau mhimu sana katika jamvi hili. Ni kitambo saaa nimetumia kufikilia kuhusu zao hili LA miti ya kupandwa ( paini na mlingoti) linapatikana kwa wingi sana hapa kwetu Njombe . ni fursa iliyopo wazi kunufaika nayo lakiki Mimi binafsi mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.