Recent content by eznia207

  1. E

    Suti Kali ya Kiume! Imetumika Siku Moja Tu - Maongezi yapo!

    Suti hii imevaliwa siku moja tu na ipo katika hali nzuri kabisa, kama mpya! Inajumuisha: Makoti Mawili: Rangi nyeupe na nyeusi. Suruali: Kiuno size 31/32. Kizibao Tai nyeusi Bei: Laki Sita TZS (600,000 TZS). Maongezi yapo! Suti inapatikana Ubungo Makuburi, Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi...
Back
Top Bottom