Recent content by Ezengege

  1. E

    Viwanja bei nafuu dodoma

    Kiwanja kinauzwa -Kipo Iyumbu North nyuma ya sheli mpya -Kina ukubwa wa sq.522 -Doc.HATI -Ni mwendo wa dakika 3 tu mpaka lami kwa miguu. -Kipo umbali wa mita 30 toka lami. -Milioni 13 tu.
  2. E

    Viwanja bei nafuu dodoma

    Ekari 13 zipo Bihawana -Ni za kwanza kabisa ukitoka rongroad -Bei mil.9.5 kwa zote. -Documents ni invoice. Tuwasiliane kwa 0779017650 kwa wewe mhitaji.
  3. E

    Viwanja bei nafuu dodoma

    Bilashaka.
  4. E

    Viwanja bei nafuu dodoma

    Karibu sana
  5. E

    Viwanja bei nafuu dodoma

    Viwanja mbalimbali vilivyopo sehemu mbalimbali,bado vipo.Fanya mawasiliano ya 0779017650 upate viwanja kwa bei ya kawaida,hapa Dodoma.
  6. E

    Viwanja bei nafuu dodoma

    Karibu mkuu.
  7. E

    Viwanja bei nafuu dodoma

    Fanya mawasiliano uhudumiwe,viwanja ni vingi ndani ya Dodoma, tena kwa bei anayoweza kumudu yeyote mwenye nia. Mawasiliano:0779017650
  8. E

    Viwanja bei nafuu dodoma

    Kuna kingine kina sq.450,mhusika anataka milioni 7 tu. Kipo Iyumbu,kina surveyor form.Kipo ushuani kabisa,nyumba mbovu labda ujenge wewe.Karibu.
  9. E

    Viwanja bei nafuu dodoma

    Utapata,ukitaka kule Iyumbu au Itumbi karibu kabisa na chuo pamoja na hospitali ya Benjamin Mkapa, utapata.We tiwasiliane tu kwa namba 0779017650
  10. E

    Viwanja bei nafuu dodoma

    Kina hati ndiyo.
  11. E

    Viwanja bei nafuu dodoma

    Viwanja bado vipo na vinginevyo pia,mhitaji usisite kufanya mawasiliano tajwa kwenye andiko,juu.
  12. E

    Viwanja bei nafuu dodoma

    Asante sana,Mungu akubariki sana.
  13. E

    Viwanja bei nafuu dodoma

    Kuna kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa sq.798.3 kina surveyor form, kipo karibu na ring Road,na pia kipo karibu na Hospitali ya Benjamin Mkapa,huduma za kijamii kama maji na umeme zipo karibu. Bei ni milioni 6.2.
  14. E

    Viwanja bei nafuu dodoma

    Kiwanja kinauzwa Chenye ukubwa wa sq. 453,kipo karibu na Hospitali ya Benjamin Mkapa,umbali wa mita 70,maji yapo jirani ,umeme upo jirani,kina surveyor form. Bei ni milioni 6.
  15. E

    Viwanja bei nafuu dodoma

    Sawasawa,naweka usijali.
Back
Top Bottom