Recent content by EzekielEmanuel1997

  1. EzekielEmanuel1997

    SoC02 Ajira mpya Serikalini ziwe ni kwa miaka kumikumi, itasaidia kupunguza tatizo la ajira na ugumu ya maisha

    Wizi na rushwa hata sasa vimekithiri, je tutasemaje hapo. Ninafikiri hilo ni janga ambalo lipo na pengine lipo kwa sababu watu wanatumia nguvu nyingi kwenye kuzitafuta hizo ajira au sababu nyingine. Ajira zikiwa ni za muda mfupimfupi inasaidia kuleta matumaini na relief ya maisha kwa wengi...
  2. EzekielEmanuel1997

    SoC02 Ajira mpya Serikalini ziwe ni kwa miaka kumikumi, itasaidia kupunguza tatizo la ajira na ugumu ya maisha

    Ulichokisema ni kweli lakini ukweli huo unapingana na mtazamo na msimamo wa makala hii. Hoja inayosisitizwa katika makala hii ni kwamba, ajira za awamu kwa sababu zifuatazo. Kwanza, idadi ya wasio na ajira inaongezeka ilhali wana sifa za kuajiriwa. Swali la kujiuliza hatima yao itakuwa ipi...
  3. EzekielEmanuel1997

    SoC02 Ajira mpya Serikalini ziwe ni kwa miaka kumikumi, itasaidia kupunguza tatizo la ajira na ugumu ya maisha

    Ni kweli usemayo lakini yote hayo ni kutokana na mtizamo ambao tayari umejengeka miongoni mwa watu wengi. Inaonekana ni vigumu kutekelezeka kwa kuwa ajira imechukuliwa kama ni PUMZIKO na siyo daraja la kujiimarisha zaidi. Hakuna pesa za kuajiri wengi kwa kuwa wale waliopo kwenye ajira silimia...
  4. EzekielEmanuel1997

    SoC02 Ajira mpya Serikalini ziwe ni kwa miaka kumikumi, itasaidia kupunguza tatizo la ajira na ugumu ya maisha

    1.0 Ikisiri Nchi nyingi duniani zinakumbana na changamoto ya ajira kwa vijana. Hii ni kutokana na ongezeko la idadi ya wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu ingali hapajatengenezwa mazingira rafiki kwa ajili ya kuwaajiri au kujiajiri vijana hao. Pamoja na kuonekana madhara makubwa...
Back
Top Bottom