Recent content by Evevu_tz

  1. Evevu_tz

    Tumbo langu linaunguruma sana hadi nakosa amani, halafu nikienda haja sipati kitu

    Wadau naomba msaada wenu, tumbo langu linaunguruma sana hadi nakosa amani, halafu nikienda haja sipati kitu na pia shemu ya chini ya tumbo na kiuno nahisi maumivu na tumbo linakuwa kama limejaa gesi. ni nini tatizo? Na nini dawa yake?
Back
Top Bottom