Recent content by Eve-Ever

  1. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tutumikiane kwa unyenyekevu

    Safi ndugu
  2. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ajali za magari barabarani nchini Tanzania na athari zake katika maendeleo

    Madereva ndiyo sababu hasa,. Utakuta mwendakasi Sana bila kujali roho za watu waliowabeba. Matrafiki nao Kwa sehemu zao ni visababishi vikubwa TU Kwa kutowajibika ipasavyo
  3. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tudumishe Kiswahili kwa maendeleo endelevu na nyenzo ya kudai haki

    Kuna nchi ambazo zinatumia lugha zao na wamefikia maendeleo makubwa Sana Sana. Kama vile Korea na china. Nasi yatupasa Sana kudumisha lugha yetu hii adhimu ya kiswahili
Back
Top Bottom