Recent content by Esak

  1. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Yafanyike haya kuikomboa NHIF

    Nakala safii
  2. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mbolea yenye uwezo mkubwa wa kuzalisha zaidi ya magunia 150 ya mazao mbalimbali kwa Ekari moja

    Kutokana na kupungua kwa rutuba kwenye udongo imesababisha upotevu wa madini mbalimbali ambayo ni muhimu katika ukuaji na afya ya mmea mfano wa madini hayo ni fosfeti, naitrojeni, chuma, potasiamu, fosforusi na kalsium, hali hii imepelekea uzalishaji wa mazao ya biashara na kilimo kuwa duni na...
  3. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Haki, elimu

    SoC 2022 - Njia/Mbinu za molekuli ya baiolojia ni kiboko ya majanga ya Dunia mfano Ugonjwa wa virusi vya korona. Ni muhimu katika Sekta ya Afya nchini...
  4. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Njia/Mbinu za molekuli ya baiolojia ni kiboko ya majanga ya Dunia mfano Ugonjwa wa virusi vya korona. Ni muhimu katika Sekta ya Afya nchini

    Ahsantee sana kaka 🙏🏼 Na hii itasaidia kuendana na kaulimbiu yetu ya Tanzania ya viwanda
  5. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania ya sayansi na teknolojia inawezekana, na ina mchango mkubwa katika kuendea kaulimbiu ya Tanzania ya viwanda

    Je, unahitaji kujua kwa undani nini kifanyike Ili kukuza sayansi na teknolojia nchini usipitwe ndugu mwana JF naomba pia unisaidie kunipigia kura mwishon mwa andiko hili, Mungu akubariki 🙏🏼 Sayansi ni maarifa yapatikanayo kwa kufanya vitendo Ili kudhibitisha habari au jambo fulani. Tanzania...
  6. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Njia/Mbinu za molekuli ya baiolojia ni kiboko ya majanga ya Dunia mfano Ugonjwa wa virusi vya korona. Ni muhimu katika Sekta ya Afya nchini

    Afya ni inajumuisha utimamu wa kiakili, kimwili na ustawi wa jamii, na ni nyenzo muhimu kuhakikisha uwepo wa nguvu kazi itakayosaidia katika maendeleo au mapinduzi ta kiuchumi. Nchini Tanzania sekta ya Afya inakumbwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa vifaa tiba na wataalamu katika...
Back
Top Bottom