Recent content by Ennnie

  1. E

    Natafuta wanaotengeneza Buckles za Mikanda ya ngozi

    Asante! Wanatengeneza wenyewe?
  2. E

    Natafuta wanaotengeneza Buckles za Mikanda ya ngozi

    Nauza nje ya nchi tu, bei zinatofautiana.
  3. E

    Natafuta wanaotengeneza Buckles za Mikanda ya ngozi

    Asante Sana kwa ushauri!
  4. E

    Natafuta wanaotengeneza Buckles za Mikanda ya ngozi

    Kuagiza wana minimum order ambayo ni buckles 1000! Mimi sihitaji zote hizo!
  5. E

    Natafuta wanaotengeneza Buckles za Mikanda ya ngozi

    Habari! Mimi nina design mikanda ya ngozi na nimekua nikitafuta sana Buckles (bakoz) za kufungia mikanda ambazo ni nzuri , imara, na high quality lakini sijapata hapa Tanzania! Nimepata sehemu ipo Kenya tu. Nina uhakika lazima kuna sehemu au kiwanda hapa hapa Tanzania wanaoweza kunitengenea...
Back
Top Bottom