Covid - 19 ni ugonjwa unaosabishwa na virusi vya corona. Ugonjwa huu kwa ambao upo kwa takribani miaka miwili sasa unasambazwa kwa njia ya hewa toka kwa mtu mmoja aliye athirika kwenda kwa mwingie. Lakini pia ugonjwa huu umekuwa ukisambaa kwa kasi na kusababisha vifo vya mamilioni ya watu...
Kwa mujibu wa sheria zetu, mtoto ni mtu yoyote mwenye umri chini ya miaka 18. Bima ya afya ni mfumo unao muwezesha mtu kupata matibabu pasipo kuwa na fedha taslimu pindi apatapo ugonjwa fulani.
Mara kadhaa tumeshuhudia kwa kusikia, kuona ama kusoma kupitia vyombo mbalimbali vya habari/mitandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.